Wakazi wa mji wa Kapenguria wamuezi Francis Lotodo

  • | Citizen TV
    160 views

    Mji wa kapenguria ni mojawapo ya maeneo yanayohifadhi historia ya taifa hili. Baadhi ya wapiganiaji uhuru almaarufu Kapenguria Six, walihukumiwa na kuhudumu kifungo chao katika eneo hilo. Mbali na hao viongozi sita, wenyeji hapa pia wanamuezi kiongozi mwingine na ambaye barabara moja mjini humo imepewa jina lake.