Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Ndaragwa wataka serikali kutumia mbwa wa kunusa kukabiliana na wezi wa mifugo

  • | Citizen TV
    344 views
    Duration: 1:28
    Wakazi katika eneo mbunge la Ndaragwa Kaunti ya Nyandarua wametaka polisi watumie mbwa wa kunusa kuwanasa wezi wa mifugo ambao wamekuwa wakiwahangaisha eneo hilo. Wamedai kuwa visa vya wizi wa mifugo, uvunjaji wa nyumba na maduka vimekuwa vikiongezeka kila kuchao lakini hakuna mshukiwa yeyote ametiwa baroni. Kulingana na wakazi, wahalifu hao huwaibia na kutorokea katika Msitu wa Ndaragwa.