- 544 viewsDuration: 1:32Wakazi wa kijiji cha Nyaibasa, kule Baasi Nyamache kaunti ya Kisii wameandamana baada ya watu mashuhuri serikalini kulima na kufunga barabara wanayodai ilitengenezwa na serikali ya kaunti ya Kisii kusaidia kurahihisha shughuli za usafiri .