Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Nyali wapata huduma za matibabu bila malipo

  • | KBC Video
    36 views
    Duration: 1:25
    Takribani watu elfu moja na mia tano wanatarajiwa kunufaika na mpango wa afya ya jamii katika kijiji cha Mbungoni, eneobunge la Nyali, Kaunti ya Mombasa. Jimbo kuu la Mombasa la kanisa Katoliki kwa ushirikiano na taasisi ya mabadiliko ya kiafya na kiuchumi barani Afrika wameandaa kambi ya matibabu ya siku moja kama sehemu ya kampeni ya miezi mitatu ya kuelimisha na kuzuia virusi vinavyosababisha saratani ya kizazi HPV katika ukanda wa Pwani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive