Wakazi wa eneo bunge la Rabai, Kaunti ya Kilifi, waliandamana kulalamikia uhaba wa maji safi ya kutumia nyumbani kwa muda wa mwaka mmoja. Waandamanaji hao walielekea katika ofisi za Kampuni ya Maji ya Kilifi Mariakani (KIMAWASCO), wakiwalaumu maafisa wake kwa uzembe.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive