Wakazi wa Rabuor, Kisumu wateta viali kuhusu utovu wa usalama

  • | KBC Video
    52 views

    Wakazi wa eneo la Rabuor katika kaunti ndogo ya Kadibo kaunti ya Kisumu wameghadhabishwa na utovu wa usalama katika eneo hilo ambako watu watano wamelazwa hospitalini baada ya kushambuliwa na wahalifu. Wakazi hao wanashutumu maafisa wa polisi katika eneo hilo kwa kutowajibikia jukumu lao jambo ambalo limezidisha visa vya uhalifu katika muda wa wiki mbili zilizopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Rabuor #insecurity