- 1,099 viewsDuration: 3:08Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Samburu leo wameandamana kulalamikia kile wanasema ni maseneta kumdhalilisha gavana wao Lati Lelelit. Shughuli za biashara mjini Maralal zilitatizwa kwa muda mchana wa leo, waandamanaji wakiwalaumu maseneta kwa kuonyesha dharau wakazi wa Samburu