Wakazi wa Samburu watakiwa kukomesha mila ya ukeketaji

  • | KBC Video
    4 views

    Wakazi wa Samburu wamehimizwa kuripoti visa vya ukeketaji wanawake ili kukomesha desturi hiyo iliyoharamishwa kisheria. Inasikitisha kwamba ukeketaji umezima ndoto za baadhi ya wasichana kutoka jamii za wafugaji wa kuhama-hama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive