- 236 viewsDuration: 1:46Wakazi kaunti ya Taita Taveta wameanza kuelimishwa namna ya kuripoti visa vya wanyamapori kuharibu mimea kwa shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori Kws ili wapate fidia. Miongoni mwa maeneo ambayo mizozo ya wanyamapori imekuwa ikishuhudiwa zaidi ni Kamtonga,Maktau na Bura. Kulingana na wanaharakati wa kijamii kutoka eneo bunge la Mwatate wanalenga kuhamasisha umma katika maeneo yote yalioathirika kaunti ya taita taveta.