Wakazi wa Taita Taveta walalamikia hali duni ya matibabu

  • | Citizen TV
    167 views

    Wakazi wa kaunti ya Taita Taveta wanalalamikia kudorora kwa sekta ya afya wakidai kuwa kuna utepetevu katika hospitali za Moi voi, Taveta na Wessu ,wundanyi . aidha uhaba wa madaktari na wauguzi umetatiza utoaji huduma katika hospitali za umma. Hali hiyo imewafanya wakazi kushinikiza kuondolewa ofisini kwa waziri wa afya.