Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Turkana, Baringo na West Pokot wanufaika na huduma za usajili wa karibu

  • | KTN News
    100 views
    Duration: 2:21
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Katibu Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Huduma za Uraia, Belio Kipsang, ametangaza kuanza kwa zoezi kabambe la usajili wa vitambulisho vya kitaifa kwa njia ya kuhama hama katika kaunti za Turkana, Baringo na West Pokot. Amesema zoezi hilo litatumia mashine za kisasa za live capture, huku vitambulisho vikitarajiwa kuchapishwa ndani ya siku tatu hadi saba baada ya data kuwasilishwa. Alizungumza mjini Mombasa wakati wa kikao cha uhamasishaji kwa machifu na manaibu wao. Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews