22 Oct 2025 10:42 am | Citizen TV 210 views Duration: 1:45 Wakazi wa vijiji vya Goda na Bulesa katika wadi ya Chari, kaunti ya Isiolo wamenufaika kutokana na kukamilika kwa mradi wa maji wa Kenya Rapid Plus na shirika la Catholic Relief Services.