- 81 viewsDuration: 1:28Wakazi wa sehemu ya Ziro Ziro huko Kwale, sasa wanadai zaidi ya familia 200 zimetengwa kutoka mpango wa ugavi wa ardhi ya sehemu hiyo unaowalenga maskwota. Wakazi hao wanataka shughuli hiyo ya ugavi wa ardhi ambayo imepangiwa kutekelezwa wiki ijayo isitishwe hadi malalamishi yao yashughulikiwe. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive