- 60 viewsDuration: 1:56Wakazi wa vijiji vya Damaja na Matagala katika eneo la Bura, kaunti ya Tana River wamepinga kwa kauli moja uamuzi wa halmashauri ya unyunyiziaji mashamba maji wa kuwaidhinisha wawekezaji kuendeleza shughuli za kilimo kwenye mradi wa Bura. Wakazi hao wanaitaka halmashauri hiyo pamoja na serikali ya kaunti kutoa ufafanuzi wazi kuhusu makubaliano hayo na nia halisi ya wawekezaji waliopendekezwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive