30 Sep 2025 10:23 am | Citizen TV 237 views Duration: 2:15 Ni afueni kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa shamba la Kishamba B eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya mahakama ya ardhi na mazingira kuamuru wakazi hao kupimiwa ardhi zao.