Wakazi walalamikia kukithiri kwa visa vya mauaji baada ya mwili bila kichwa kupatikana mtoni Tana

  • | Citizen TV
    196 views

    Polisi katika mji wa Madogo kaunti ya Tana River wanachunguza kisa cha kushangaza ambapo maiti isiyokuwa na kichwa ilipatikana ikielea katika mto Tana.