- 1,088 viewsDuration: 1:16Shughuli za uchukuzi zilitatizika katika soko la kimwanga kwenye barabara ya kanduyi kwenda malaba, baada ya wakazi kuandamana huku wakiwasha moto magurudumu. Wakazi hao wanalalamikia kuondolewa kwa mbunge wa Bumula jack Wamboka Wanami kwenye kamati ya uwekezaji wa umma Bungeni. kulingana nao, viongozi wanaopinga sera za Rais William Ruto wamekuwa wakihangaishwa nchini.