Wakazi walalamikia ubovu wa barabara eneo la Transmara

  • | Citizen TV
    140 views

    Wakazi wa eneo la Engos katika barabara ya Mararianda - Lolgorian waandamana kulalamikia ubovu wa barabara hiyo inayounganisha Mbuga ya wanyama ya Mara na eneo la Lolgorian.