Wakazi zaidi ya 300 watoroka kwao wakihofia mashambulizi, Samburu

  • | Citizen TV
    1,015 views

    Wakazi zaidi ya mia tatu wamekimbia kwao katika kijiji cha Nolkera Samburu magharibi Kwa hofu ya kuvamiwa na wezi wa mifugo. Wakazi hao wamelazimika kutafuta hifadhi katika maeneo mengine ya kaunti hiyo.