Skip to main content
Skip to main content

Wake wabeba waume zao

  • | BBC Swahili
    4,054 views
    Duration: 45s
    Je, unaweza kumbeba mwenzi wako na kukimbia naye?Nchini Finland kuna mashindano rasmi ya dunia ambapo washiriki hubeba wenzi wao na kukimbia kwenye njia yenye vizuizi ili kuwania ubingwa. Miongoni mwa matukio yaliyovutia ni mwanamke wa kwanza aliyebebwa akiwa kwenye kiti cha magurudumu na mwanamke aliyembeba mwenzi wake wa kiume mwenye uzito wa kilo 135. Je, wewe ungembeba mwenzi wako mngemaliza mbio hizi? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw