Wakenya asilimia 55 wadai taifa limeelekea pabaya

  • | K24 Video
    17 views

    Rais William Ruto amepewa alama ya asilimia 55 kwa utendaji kazi na wakenya, mwaka mmoja tangu achukue mamlaka. Naibu wake Rigathi Gachagua alipewa asilimia 47 ya utendaji kazi katika utafiti wa hivi punde wa kampuni ya Infotrak Kenya. Hata hivyo kama, asilimia 53 ya wakenya wanahisi taifa limechukua mkondo mbaya huku gharama ya juu ya maisha ikitajwa kama kigezo kikubwa kwa hali hiyo.