Skip to main content
Skip to main content

Wakenya milioni 7 ni maskini huku tajiri 125 wakimiliki mali sawa na ya wananchi milioni 42

  • | Citizen TV
    15,487 views
    Duration: 3:01
    Wakenya wengi ni maskini ikilinganishwa na hali ilivyokuwa miaka kumi iliyopita. Ripoti ya shirika la Oxfam ikiashiria tofauti kubwa ya watu matajiri na maskini, ambapo sasa wakenya milioni saba wamejipata kwenye hali ya ufukara kwa muda huo. Ripoti hii iliyotolewa leo pia ikionyesha kuwa watu 125 wana utajiri ambao unaweza kuwatosheleza wakenya milioni 42.