Wakenya tofauti watoa hisia kuhusu mpango wa babacare

  • | K24 Video
    59 views

    Idadi kubwa ya wakenya bado wanahangaika kupata huduma za afya na wengi hawana bima ya afya. Katika uzinduzi wa dira ya miaka mitano, muungano wa Azimio One Kenya umeahidi mpango wa Babacare ambao unasemekana utaleta mapinduzi katika sekta ya afya. Chini ya mpango huo wakenya wote watapata huduma nafuu za afya.