Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wahimizwa kuzungumza waziwazi kuhusu afya ya akili baada ya mazishi ya Kimani Mbugua

  • | NTV Video
    523 views
    Duration: 3:14
    Baada ya mazishi ya aliyekuwa mwanahabari Kimani Mbugua Murang'a wito umetolewa kwa Wakenya kuanza kuzungumza waziwazi kuhusu afya ya akili na kuwakumbatia wanaopitia changamoto hiyo badala ya kuwatekeleza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya