Skip to main content
Skip to main content

Wakenya waitaka serikali kupunguza zaidi bei za bidhaa

  • | Citizen TV
    278 views
    Duration: 2:51
    Serikali ya Rais William Ruto inapofikisha miaka mitatu uongozini, tunaangazia bei ya unga tukilinganisha na miaka mitatu iliyopita wakati siasa za unga zilichacha nchini. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno ametembea katika baadhi ya maduka na kuzungumza na wananchi kuhusu bei za unga chini ya utawala wa rais William Ruto.