Wakenya wahimizwa kutowapigia kura viongozi wanaotuhumiwa kuhusika na ufisadi

  • | KBC Video
    31 views

    Vuguvugu la kitaifa la maadili limetoa wito kwa wakenya kutowapigia kura viongozi wanaotuhumiwa kuhusika na ufisadi kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. Vuguvugu hilo limesema kuchaguliwa kwa viongozi kama hao katika chaguzi zilizopita kumesababisha taifa hilo kupoteza theluthi moja ya bajeti yake kila mwaka kwa wafisadi kando na kuongeza deni la taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #Ufisadi #Uchaguziwa2022 #Kampenilakadinyekundu