a ya afya imeonya kuwa ugonjwa wa MPOX ungali tishio humu nchini, huku visa elfu 1,298 vilivyothibitishwa vikiripotiwa katika kaunti 40, na watu 19 kufariki kufikia sasa. Kaunti saba ikiwa ni pamoja na Mombasa, Nairobi, Busia, Makueni, Kiambu, Kilifi na Nakuru zimeorodheshwa kuwa kwenye hatari kubwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News