Wakenya watoa hisia mseto kuhusu hatua ya benki kuu ya kenya kuwaondolea asilimia 50 ya madeni

  • | K24 Video
    4 views

    Wakenya wametoa hisia mseto kuhusu hatua ya benki kuu ya kenya kuwaondolea asilimia 50 ya madeni waliyonayo kutokana na kukopa mitandaoni na kushindwa kulipa kwa wakati ufaao aidha wataalamu wa maswala ya fedha wanasema kuwa hatua hiyo ni hatari kwa taasisi za kifedha.