- 332 viewsDuration: 3:11Hisia mseto zimeibuliwa kwenye vikao vya maoni ya wananchi kuhusu uuzaji wa hisa za safaricom kwa kampuni ya vodacom huku baadhi wakiunga mkono mchakato huo na wengine wakielezea wasiwasi kuhusu uwazi na uwajibikaji. Wananchi katika kaunti za nakuru na nyeri wametaka pesa zitakazopatikana kutumiwa kufanikisha maendeleo, wengine wakitaka hisa ziuziwe wakenya