Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wengi wanaostaafu hawajaweka mikakati ya kujimudu

  • | KBC Video
    107 views
    Duration: 1:50
    Idadi kubwa ya wakenya wako katika hatari ya kukabiliwa na matatizo ya kifedha uzeeni kutokana na mipango duni ya ustaafu huku ongezeko la umri wa kuishi, mfumko wa bei na gharama ya huduma za afya vikiendelea kuongeza mzigo wa kifedha kwa familia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive