Wakenya zaidi waendelea kutapeliwa na waekezaji

  • | Citizen TV
    4,279 views

    Wakenya zaidi wameendelea kujitokeza kulalamikia kupoteza pesa kwenye ulaghai wa uwekezaji. wengi sasa wakidai kupoteza zaidi ya shilingi milioni 300 mikononi mwa mwekezaji mmoja aliyewaahidi kuwalipa riba kwa pesa zao. Mshukiwa huyo kwa sasa anadaiwa kutoweka