Skip to main content
Skip to main content

Wakereketwa mbalimbali wamekutana Kajiado katika hafla ya uhamasishaji kuhusu hakiza mtoto wa kike

  • | Citizen TV
    74 views
    Wakereketwa mbalimbali wamekutana katika Kaunti Ndogo ya Kajiado Magharibi katika hafla ya uhamasishaji kuhusu haki na ustawi wa mtoto wa kike, wakilenga kuangazia changamoto zinazowakumba wasichana katika jamii.