Skip to main content
Skip to main content

Wakfu wa I&M na ule wa Palmhouse wafadhili wanafunzi

  • | KBC Video
    34 views
    Duration: 2:06
    MSAADA KWA WASIOJIWEZA Wakfu wa I&M kwa ushirikiano na wakfu wa Palmhouse umetoa ufadhili wa masomo wa takriban shilingi million 30 kusaidia wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10. Akizungumza alipokuwa akitoa hundi hizo ,Mkurugenzi mkuu wa I&M Kihara Maina amesema kuwa shirika hilo litaendela kusaidia kukuza elimu hasa kwa wanafunzi wanaotoka kwenye familia zisizojiweza. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive