21 Jul 2026 1:30 pm | Citizen TV 873 views Duration: 3:39 Baadhi ya wakimbizi katika Kambi ya Kakuma, kaunti ya Turkana, wamegeukia kilimo baada ya shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi kusimamisha msaada. mradi huo wa kilimo unafadhiliwa na shirika la Kakuma Sound.