3 Apr 2026 1:06 pm | Citizen TV 2,659 views Duration: 43s Wakristo wajumuika kwenye Makanisa mbalimbali kwa ibada ya ijumaa kuu, huku waumini wa kanisa katoliki wakishiriki matembezi ya njia ya msalaba kama ishara ya kukumbuka kusulubiwa kwa YESU KRISTO MSALABANI.