Wakristo wafurika maabadi kwa ibada ya Krismasi

  • | Citizen TV
    976 views

    Jumbe za matumaini, umoja na upendo zilitawala ibada za krismasi katika maeneo mbalimbali ya kuabudu taifa likijumuika na mataifa mengine duniani kusherehekea Sikukuu ya Krismasi. Viongozi wa kidini waliwatia moyo waumini wakiwataka kuwakumbuka wasiojiweza katika jamii na kuliombea taifa.