Wakufunzi wa kituo cha mafunzo ya watu wazima cha Kapserton katika eneo la Mosop wametishia kugoma

  • | KBC Video
    5 views

    Wakufunzi wa kituo cha utoaji mafunzo ya watu wazima cha Kapserton katika eneo la Mosop, kaunti ya Nandi wametishia kugoma ikiwa wizara ya elimu haitawalipa malimbikizi ya mishahara yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive