Wakulima katika kaunti ya Trans Nzoia wajisajili kwa matayarisho ya kupokea mbolea ya bei nafuu

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya wakulima 100,000 katika kaunti ya Trans Nzoia wamejisajili kupitia mfumo wa mtandao kwa matayarisho ya kupokea mbolea ya bei nafuu. Rais William Ruto anatarajiwa kuongoza shughuli ya kusambazwa kwa mbolea hiyo katika wadi 38 za kaunti ya Trans Nzoia .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #subsidizedfertilizer #News