Wakulima Kericho wahofia kucheleweshwa kwa mbolea

  • | Citizen TV
    89 views

    Wakulima wa mahindi katika kaunti ya kericho wanahofia kucheleweshwa kwa usambazaji wa mbolea kutaathiri msimu wa upanzi.