Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Kilifi wahimizwa kupanda mimea faafu

  • | KBC Video
    125 views
    Duration: 2:36
    Wakulima katika kaunti ya Kilifi wametakiwa kukumbatia mbinu endelevu za kilimo wakati huu ambapo uzalishaji chakula unatishiwa na kiangazi cha muda mrefu na uhaba wa mvua. Familia nyingi katika kaunti kadhaa za humu nchini zinakabiliwa na makali ya ukame ambao umeziacha bila chakula, maji na hata mifugo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive