Wakulima Mlima Elgon wataka serikali iwape muda zaidi ya kuondoka msituni

  • | Citizen TV
    213 views

    Wakaazi wa Kibuk eneo bunge la Mlima Elgon wanaopakana na msitu wa serikali wa Kaberua,sasa wanaitaka idara ya misitu kusitisha ilani ya kuwataka waondoke katika msitu huo kwa miezi sita ijayo