Wakulima na wafugaji 200,000 kunufaika na mradi ya kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    116 views

    Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inapania kuwafikia wakulima na wafugaji zaidi ya 20,000 kila mwezi kwa kuwezesha maafisa wanyanjani kupenya hadi vijijini ili kuboresha ukuzaji wa chakula na ufugaji.