Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Uasin Gishu waandamana kutokana na uhaba wa mbolea

  • | Citizen TV
    204 views
    Wakulima katika kaunti ya uasin gishu wanahofia kuwa mazao yao yataharibikia shambani kutokana na uhaba wa mbole. Hii leo, Mamia ya wakulima waliandamana mjini Eldoret wakilalamika kuwa ukosefu wa mbolea ya kunyunyizia mahindi unawasababisha kugharamikia safari za kila mara kwenye maghala ya NCPB bila mafanikio. Aidha wanahofia kuwa hali hiyo itaathiri utoshelevu wa chakula kwenye eneo hilo ambalo ni mojawapo ya maghala ya taifa.