Wakulima wa kahawa kusubiri siku 90 kufaidi mabadiliko

  • | K24 Video
    79 views

    Ndani ya siku 90 wakulima wa kahawa wanafaa kuona mabadiliko katika sekta hiyo, yanayotarajiwa kuongeza mapato yao. hayo ni kwa mujibu wa naibu rais Rgathi Gachagua ambaye amewaahidi wakulima kuwa mapendekezo yaliyotolewa katika kongamano la Meru yatafuatiliwa na kuzingatiwa zaidi. Wakulima wanataka sana msaada wa utafiti ili kuimarisha kilimo chao.