Wakulima wa Kinango, Lungalunga wapewa mbegu za kisasa

  • | Citizen TV
    194 views

    Wakulima zaidi ya 9,500 katika Kaunti ya kwale hasa katika maeneo kame ya kinango na LungaLunga wanatarajia mavuno kochokocho ya mahindi, pojo na kunde, kutokana na ugavi wa mbegu za kisasa za mimea hiyo kutoka kwa serikali ya Kwale kupitia idara ya kilimo na ufugaji