Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa Magarini walalamikia makali ya ukame

  • | Citizen TV
    0 views
    Baadhi ya wakulima katika eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi wameitaka serikali ya kaunti hiyo pamoja na wahisani kuwasaidia ili waweze kuendeleza kilimo endelevu.