Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa mahindi wakadiria hasara kubwa huku mvua ikiendelea kunyesha kote nchini

  • | Citizen TV
    6,371 views
    Duration: 2:57
    Wakulima wa mahindi katika maeneo tofauti wanakadiria hasara kubwa kutokana na Mvua inayoendelea kunyesha katika sehemu nyingi humu nchini. Hali hiyo imesababisha mavuno kuozea mashambani huku wakulima wakisalia kutazama jasho lao likiambulia patupu