Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa mahindi wanashirikiana na watafiti kujadili mustakabali wa kilimo cha mahindi nchini

  • | Citizen TV
    216 views
    Duration: 3:02
    Wakulima wa mahindi wanashirikiana na watafiti kujadili mustakabali wa kilimo cha mahindi nchini. Wataalamu wanahimiza matumizi ya mahindi yaliyobadilishwa vinasaba kama suluhisho la hasara inayotokana na mabadiliko ya hali ya anga na wadudu waharibifu. Denis Otieno alizuru kaunti ya Trans Nzoia na kuzumgumza na wakulima wadogo kuhusu kilimo cha mahindi yaliyoboreshwa.