- 480 viewsDuration: 1:43Wakulima wa majani chai wameshauriwa kutong'oa michai kwenye mashamba yao kutokana na bonasi duni ya chai iliyotangazwa majuzi. Huu ni ushauri wa viongozi wa kina mama kutoka muungano wa wanawake wakulima wa chai wakizungumza kaunti ya Kericho.