Wakulima wa miraa katika kaunti ya Meru walalamikia kuhangaishwa na mawakala katika biashara

  • | Citizen TV
    556 views

    Wakulima wa Miraa kutoka kaunti ya Meru wanalilia Serikali kuwasaidia kukabiliana na mawakala wanaosema wanawahangaisha katika biashara zao. Wakulima hawa wakisema kuwa wanalazimika kupoteza faida zao kutokana na muingilio huu ulioathiri mapato yao na hata soko.